Mchezaji wa Simba arejea kuelekea mechi na Al Ahly
Kuelekeza mchezo wa 3 Kundi D ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba kupitia kwa kocha wake Patrick Aussems, amethibitisha kuwa mshambuliaji wa timu hiyo John Bocco ameshapona na anatarajiwa kuanza kucheza muda wowote.

