Makonda ataja kinachomkera kwa wanaoishi DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaa, Paul Makonda amesema kuwa moja ya vitu vinavyomkera katika Mkoa wa Dar es salaam ni namna ambavyo watu wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi kuwasema wenzao huku wao wakiwa hawafanyi kazi.

