Mbunge CHADEMA amkumbuka Kikwete

Rais wa Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete

Mbunge wa Arumeru Magharibi Gibson Meiseyeki amelitaja jina la Rais wa Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika kikao cha kwanza cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilioanza leo Jijini Dodoma ambapo likiongozwa na Spika wa Bunge Job Ndugai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS