Zahera agoma kulaumu timu, ataja waliofanya uzembe Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera Kocha mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema katika mchezo wa jana dhidi ya Biashara United, hawezi kuilaumu timu nzima kwa mabao mawili waliyofungwa, bali ni kwa uzembe wa mchezaji mmoja mmoja. Read more about Zahera agoma kulaumu timu, ataja waliofanya uzembe