Mwalimu aliyeua mwanafunzi wake apandishwa kortini
Picha hii haihusiani na habari
Mahakama kuu kanda ya Bukoba, leo imeanza kusikiliza kesi ya mauaji ya kukusudia inayomkabili Herieth Jerald ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Kibeta iliyoko Manispaa ya Bukoba.