Simba na Yanga zatupwa nafasi za 6 na 7

Wachezaji wa Yanga na Simba

Hatimaye bodi ya ligi (TPLB) imeweka wazi kuwa moja ya tatizo kubwa linaliosababisha kubadilishwa kwa ratiba ya ligi kuu ni timu kutokuwa na viwanja vyake ambapo katika timu 20 za ligi kuu zinazomiliki viwanja ni tano pekee na Yanga na Simba si miongoni mwao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS