Mo Dewji aweka wazi adhabu watakayopewa wachezaji Mwekezaji wa Simba Mo Dewji na wachezaji wa Simba Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesema bado timu hiyo ina nafasi ya kushinda mechi zake za kundi D kwenye Ligi ya Mabingwa na kuingia hatua ya robo fainali. Read more about Mo Dewji aweka wazi adhabu watakayopewa wachezaji