Alama tatu za Simba zawashusha wawili Wachezaji wa Simba wakishangilia moja ya mabao katika mchezo wa leo. Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa ligi kuu ambao umemalizika usiku huu kwenye uwanja wa taifa Dar es salaam. Read more about Alama tatu za Simba zawashusha wawili