Mo Dewji awataja mashabiki wa kweli wa Simba
Kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly Jumanne ijayo, mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Mohammed Dewji, amesema mashabiki wa kweli ni wale wenye kuishangilia timu katika nyakati zote.

