Lissu azungumzia 'mazishi' yake yalivyoandaliwa
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu amesema anahofia kutaja majina ya watu waliomtahadharisha kuhusu namna mazishi ya kifo chake namna yalivyopangwa kwa kuwa hataki watu hao wapitie matatizo ambayo yeye tayari amekwishapitia.

