Trump abadilisha Helikopta akitoka Uingereza Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Marekani Donald Trump ililazimika kuelekezwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Luton alipomaliza ziara yake ya kiserikali nchini Uingereza. Read more about Trump abadilisha Helikopta akitoka Uingereza