Polisi apuliziwa dawa na kuibiwa silaha
Afisa wa polisi katika kituo cha Riruta nchini Kenya amepuliziwa dawa na kuibiwa silaha yake na washukiwa wa ujambazi. James Obiri alikutwa amelala kando ya barabara ya Mtamba katika mtaa wa Highridge karibu na kituo cha polisi cha Parklands.