Samatta na Amunike watoa ujumbe kuhusu AFCON 2019
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike pamoja na Nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta, wamesema wamefanya maandalizi mazuri kuelekea mchezo wao wa kwanza kwenye AFCON 2019, dhidi ya Senegal.