Aliyemshushia kichapo TID afunguka

Siku chache baada ya Msanii wa Bongo Fleva, TID kulalamika kuwa alishushiwa kichapo, jamaa aliyefahamika kwa jina la Chid Kisoka amedai msanii huyo ndiyo alikuwa chanzo cha ugomvi huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS