Wema Sepetu apewa onyo la mwisho Wema Sepetu. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam imemuonya msanii wa Filamu nchini humo, Wema Sepetu, kutokukiuka masharti ya dhamana, vinginevyo haitasita kufutia dhamana yake. Read more about Wema Sepetu apewa onyo la mwisho