Alichofanya Rais baada ya kufika kwa Tarimba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli amehani msiba kwa Bw. Abbas Tarimba Abbas ambaye hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es salaam.