Mbunge Musukuma alilia Maaskari wanawake Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ameeleza Serikali ina mpango wa kupeleka Maaskari wanawake katika baadhi ya Majimbo nchini kufuatia maombi yaliyotolewa na Wabunge wengi. Read more about Mbunge Musukuma alilia Maaskari wanawake