Poshy Queen afunguka kilichompeleka Bungeni

Poshy Queen akiwa katika viunga vya Bunge, jijini Dodoma.

Siku chache baada ya picha zake kusambaa akionekana na wabunge tofauti kwenye Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, huku kukiwa na madai kuwa ameenda kudanga, mrembo anayetikisa na umbo matata katika mitandao ya kijamii, Jacqueline Obeid ‘Poshy Queen’ amevunja ukimya juu ya safari yake hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS