Kesi ya Shamim Mwasha na mumewe kutolewa hukumu

Abdul Nsembo (Fulana nyeupe) na Shamim Mwasha (wa mbele kushoto).

Kesi ya usafirishaji wa madawa ya kulevya inayomkabili, Shamim Mwasha (41) na Mumewe Abdul Nsembo maarufu kama Abdulkandida (45) imetajwa leo June 24, katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu na kuelezwa kuwa kinachosubiriwa ni ripoti ya kielelezo kutoka kwa mkemia mkuu wa serikali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS