Aomba fidia serikalini baada ya kunyofolewa nyeti Fisi. Julius Somoire (26) kutoka nchini Kenya amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kung'atwa na fisi sehemu zake za siri ambapo ameitaka serikali kumfidia kufuatia majeraha mabaya aliyoyapata. Read more about Aomba fidia serikalini baada ya kunyofolewa nyeti