Zaidi ya 200 mil zateketea, moto uliozuka 'Lodge '

Picha ya uharibifu uliotokea katika Lodge hiyo

Kufuatia moto mkubwa kuzuka usiku wa jana, Juni 25 katika jengo la Kingole Lodge lililopo eneo la Mabobo Luhanga Jijini Dar es Salaam, mmoja ya wamiliki wa jengo hilo ametoa tathmini ya thamani ya vitu vilivyoteketea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS