Mkuu wa Wilaya apambana na wachawi njia panda
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vya ushirikina katika eneo la Njiapanda inayoelekea nyumbani kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Anamringi Macha, imeelezwa kuwa watahakikisha unawekwa ulinzi maalumu ili kuweza kuwabaini na ikiwezekana kuwakamata watu wote wanaofanya ushirikina huo.