Spika Ndugai ataka Mwakyembe afanyiwe hili Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba Waziri mkuu kumruhusu Waziri na Michezo Harrison Mwakyembe na Naibu na Waziri Juliana Shonza kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuiunga mkono timu ya Taifa ya Tanzania. Read more about Spika Ndugai ataka Mwakyembe afanyiwe hili