Kinachoendelea kwa mwanamke aliyempika supu mtoto

Kamanda wa polisi  Mkoa wa Geita Mponjoli Mwabulambo

Mwanamke aliyefanya tukio la aina yake Mkoani Geita, anayejulikana kwa jina la Happines Shadrack (36), aliyemchinja mwanaye kisha kumkatakata vipande na kumpika supu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani pindi upelelezi utakapokamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS