Hamuwezi kuendelea na maisha msiponitaja? -Nape Nape Nnauye akiwa na Zitto Kabwe pamoja na January Makamba. Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amezungumzia kuhusiana na kutajwa katika ujumbe uliochapishwa kwenye akaunti ya kijamii ya Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Kabwe. Read more about Hamuwezi kuendelea na maisha msiponitaja? -Nape