Viongozi waliowahi 'kugombana' na Spika Ndugai

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai huenda ndiye kiongozi wa Mhimili pekee ambaye amekuwa akiingia kwenye migogoro ya mara kwa mara na baadhi ya Wabunge, pamoja na viongozi wengine wa Serikali kutokana na sababu mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS