Hudson Kamoga aagizwa kumsaka mwizi Mkurugenzi wa Wilaya ya Mbulu Hudson Kamoga Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu, Hudson Kamoga, kuhakikisha anapata jina la Afisa Utumishi aliyekuwa anatoa mishahara kwa wafanyakazi hewa. Read more about Hudson Kamoga aagizwa kumsaka mwizi