Lindi: Mtoto atishiwa kisu na kutekwa Mwanafunzi Idrisa Abdallah Nandepe (13) anayesoma Shule ya Msingi, Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi amenusulika kifo baada ya kutekwa na watu wasiojulikana alipokuwa akienda shuleni. Read more about Lindi: Mtoto atishiwa kisu na kutekwa