Tundu Lissu avuliwa ubunge, sababu zatolewa Tundu lissu Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mh. Tundu Lissu, amevuliwa rasmi kiti hicho, baada ya kuvunja taratibu mablimbali za Bunge ikiwemo kutohudhuria Mikutano na vikao vya bunge bila kutoa taarifa. Read more about Tundu Lissu avuliwa ubunge, sababu zatolewa