Wafanyakazi 5 wa Azam kuagwa leo
Miili ya waliyokuwa wafanyakazi wa Azam Media ambao walifariki kwa ajali asubuhi ya Julai 8, 2019 eneo la Malendi Iramba mkoani Singida, inatarajiwa kuagwa leo katika makao makuu ya ofisi za Azam Media zilizopo Tabata jijini Dar es salaam.