"Sisi 'wabongo' tunapimana mafanikio" - Wakazi Wakazi Nguli wa muziki wa Hip Hop nchini, Webiro Wassira maarufu kama 'Wakazi', amezungumzia tabia ya watu kufuatilia maisha ya wengine na kuyapima kwa muonekano wa nje tofauti na uhalisia. Read more about "Sisi 'wabongo' tunapimana mafanikio" - Wakazi