Rosa Ree amkana msanii wa Kenya Mwanadada anayefanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Rosa Ree 'Goddess Of Rap' amefunguka kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na msanii Timmy Tdat wa Kenya. Read more about Rosa Ree amkana msanii wa Kenya