''Usitegemee kama utalipwa'' - Kassim Majaliwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, amezindua safari za Treni ya mizigo kutoka Tanga hadi Kilimanjaro, safari ambayo ilikuwa imesimama kwa takribani miaka 12. Read more about ''Usitegemee kama utalipwa'' - Kassim Majaliwa