Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa Kinondoni
Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema leo Julai 20 amemkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo, ambapo utazunguka na kukagua, kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika Manispaa hiyo.