"Kuna watu wamepanga kuichafua Serikali" - Masauni
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Masauni, amebainisha kuna baadhi ya watu ambao wamepanga njama za kutaka kuichafua Serikali, hususani kuelekea kipindi hiki cha Uchaguzi, Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa Urais 2019/2020.

