RPC afunguka ajali iliyounguza magari Gari mbili za mizigo, moja lenye namba za usajili scania T182 DCM lililokuwa linatokea Iringa kwenda Dar es salaam zimegongana uso kwa uso eneo la Ruvu mkoani Pwani, na kutekea kwa moto. Read more about RPC afunguka ajali iliyounguza magari