Halima Mdee aeleza Mama yake anavyoteseka
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la CHADEMA (BAWACHA), Halima Mdee, amesema asilimia kubwa ya watu wenye nyadhifa mbalimbali nchini, wamekuwa wakiwatumia wanawake kama chombo cha starehe kwa kile alichokidai wanatumia kauli zenye ishara ya kukebehi wanawake.

