Simba kumsajili kiungo aliyeisumbua Taifa Stars Francis Kahata Baada ya jana Juni 30, 2019 shirikisho la soka nchini (TFF), kufungua dirisha la usajili, klabu ya soka ya Simba inaendelea na usajili, ambapo inaelezwa imeshamalizana na kiungo wa Kenya. Read more about Simba kumsajili kiungo aliyeisumbua Taifa Stars