Jinsi unavyoweza pata 'Loss Report' mtandaoni
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa wananchi ambao wamepoteza baadhi ya nyaraka zao muhimu ikiwemo line za simu, pamoja na vyeti wanaweza kupata taarifa ya utambuzi wa polisi (Loss Report) kwa njia ya kieletroniki endapo watakuwa na Kitambulisho cha Taifa.