Jux amwonesha mpenzi wake mpya? Msanii Jux Mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux, ameonesha kujibu mapigo ya msanii mwenzake Vanessa Mdee, ambaye alikuwa mpenzi wake na hivi karibuni alithibitisha kupitia Insta Story kuwa wameachana. Read more about Jux amwonesha mpenzi wake mpya?