Mambosasa ajibu hoja ya Zitto kuhusu Raphael Mbunge Zitto Kabwe na Kamanda Mambosasa. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam (SACP) Lazaro Mambosasa, amewataka watu wenye taarifa zitakazosaidia upatikanaji wa Raphael Ongangi, waziwasilishe ofisini kwake ili zifanyiwe kazi. Read more about Mambosasa ajibu hoja ya Zitto kuhusu Raphael