Mambosasa ajibu hoja ya Zitto kuhusu Raphael

Mbunge Zitto Kabwe na Kamanda Mambosasa.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam (SACP) Lazaro Mambosasa, amewataka watu wenye taarifa zitakazosaidia upatikanaji wa  Raphael Ongangi, waziwasilishe ofisini kwake ili zifanyiwe kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS