Raphael apotea TZ apatikana Kenya
Mfanyabiashara Raphael Ongangi ambaye ni raia wa Kenya aliyedaiwa kupotea tangu Juni 24, 2019 amepatikana Mombasa Kenya baada ya kupotea jijini DSM, mke wake Veronica Kundya amethibitsha hilo kwa vyombo vya habari amesema amezungumza naye kwa simu.