"Kinana,Membe,Makamba wamemshambulia Rais" - Hapi
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi, amedai kuwa njia inayotumiwa na baadhi ya viongozi wastaafu wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi, ina nia mbaya na kueleza lengo lake ni kuidhoofisha Serikali isifanye kazi yake.