"Nimevaa 'kauka nikuvae' mwezi mzima"- Ommy Dimpoz Ommy Dimpoz Msanii nguli wa Bongo Fleva ambaye anatamba na wimbo wake mpya wa 'One & Only', Ommy Dimpoz amezungumzia maisha yake ambayo aliishi kipindi anatafuta nafasi ya kutoka kimuziki. Read more about "Nimevaa 'kauka nikuvae' mwezi mzima"- Ommy Dimpoz