Watakaokula pilau ya mshindi wa uchaguzi kukiona Pilau Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mwanza, imewapa tahadhari wananchi kuwa, ni marufuku kula nyama na pilau zitakazoandaliwa na wagombea watakaoshinda uchaguzi. Read more about Watakaokula pilau ya mshindi wa uchaguzi kukiona