Zanzibar: Injinia wa Meli ajinyonga safarini Meli ya MV Mapinduzi Mtu mmoja anayetajwa kuwa Injinia wa Meli ya MV Mapinduzi inayofanya safari zake Unguja na Pemba, Haji Abdallah Khatib, amejinyonga wakati Meli hiyo ikiwa safarini kutoka Unguja kwenda Pemba. Read more about Zanzibar: Injinia wa Meli ajinyonga safarini