Nimetumia salamu ya CCM? "waangalie Katiba"- Shana

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha amefafanua sababu yeye ni kutumia salamu za Chama Cha Mapinduzi huku yeye akiwa Afisa wa Polisi ambaye hatakiwi kujihusisha na masuala ya siasa, huku akieleza hata salaam aliyoitumia haina uhusiano na chama hicho bali ni salamu yake binafsi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS