Shahidi akwamisha kesi ya Mkurugenzi Jamii Forums
Kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa Jamii Forum Maxence Melo, na mwenzake Mike William, imeshindwa kuendelea leo Julai 3 Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya shahidi wa upande wa mashtaka kutofika mahakamani.