Isha awafungukia watumiaji dawa za kuongeza nguvu Msanii wa miondoko ya muziki wa Taarab na BongoFleva kwa sasa Isha Mashauzi "Jike la Simba" ametoa neno kwa wale wote wanaotumia dawa za kujibusti ili kuongeza nguvu na muda kitandani. Read more about Isha awafungukia watumiaji dawa za kuongeza nguvu